Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 0 Votes - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
VIDEO MPYA YA ROSE MUHANDO"WOLOLO" CHINI YA SONY MUSICAFRICA COMPANY
12-17-2013, 05:10 PM
Post: #1
VIDEO MPYA YA ROSE MUHANDO"WOLOLO" CHINI YA SONY MUSICAFRICA COMPANY
Muimbaji wa muziki wa injili nchini
Rose Muhando hatimaye amevunja
ukimya kwa kuachia video chini ya
label ya kimataifa inayomsimamia kwa
sasa Sony Music Africa. Hivi karibuni Bongo5 ilizungumza na
Mkuu Wa Vipaji na Biashara Mpya wa
Rockstar 4000 / Sony Music Africa,
Seven Mosha, ambaye aliahidi kuwa
kazi mpya za Rose zitaanza kutoka
mwishoni mwa mwaka huu ikiwa ni tarkribani miaka miwili toka muimbaji
huyo asaini ‘record deal’ na label hiyo
ya kimataifa. Video ya Rose Muhando ‘Wololo’ pia
imekuwa certified na mtandao wa
video za muziki wa Marekani VEVO.
Video hii imepandishwa youtube
December 13 kupitia channel ya
RoseMuhandoVEVO
Find all posts by this user
Quote this message in a reply
Post Reply 


Forum Jump: